grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
kaka welbeck aliiumiza timu yake ya zamani, leo hii fabiansk anawabania kama hawajui vile
Mkuu angalia na kombe Welbeck aliloiumiza timu yake ya zamani. Fabiansk kapigilia msumari palepale palipotoka mwiba.