Tunataka nafasi ya 2 msimu huu...Leo tumekamilisha magoli 100 msimu huu michuano yote,Chelsea wamechukua ubingwa msimu huu na magoli 69 tu .This is our statement for the next season's title ambitions.#Ars10 unbeaten
View attachment 249241
Ox atarudi lini? Hii first 11 inacheza vizuri inampa Wenger wakati mgumu ku-rotate wachezaji. Ox, Debuchy,Walcott, Wilshere, Welbeck, Gibbs wataendelea kusugua benchi hadi injuries zitakapokuja. Next victim ni Swansea.
Tunataka nafasi ya 2 msimu huu...Leo tumekamilisha magoli 100 msimu huu michuano yote,Chelsea wamechukua ubingwa msimu huu na magoli 69 tu .This is our statement for the next season's title ambitions.#Ars10 unbeaten
Welbz aka new Titi! Vipi tena na benchi?!
Tukiwafunga goli 5-0 tunakuwa juu ya Man City on GD na bado tutakuwa na mechi 1 mkononi. Sanchez for his first Arsenal hat trick, Welbeck ndio pekee hadi sasa mwenye hat trick kwa wachezaji wa Arsenal. Sidhani kama Ramsey alishafunga goli 3 mechi moja? Wacha1, BAK....Come on Gooners!!!!!!!!!!!!
Msimu ujao tukianza vizuri watatukoma.
Doh! The most biased and baloney statement I have ever heard from soccer fan!
Yaani umeamua kuhesabu magoli ya goons kwenye michuano yote. Kisha ya rentboys ukahesabu ya kwenye EPL tu!!
Wazee wa #NextSeason mna vijimambo!!