Noma tumegeuka kuwa nyinyi leo. Possessions kibao, attempts on goal kibao bado tunapigwa ubaya
Fabiasnki ni mamluki hovyo kweli. Ameshindwa kufanya makosa kama aliyokuwa anafanya wakati yupo Arsenal.
Kila la heri Swansea, sina shaka leo mtanifurahisha kama mlivyonifurahisha mwezi November,2014.
Fabiasnki ni mamluki hovyo kweli. Ameshindwa kufanya makosa kama aliyokuwa anafanya wakati yupo Arsenal.
Hahahahha Forever Fourth...
Umeangalia table au unaongea yaliyopita?
kaka welbeck aliiumiza timu yake ya zamani, leo hii fabiansk anawabania kama hawajui vile