Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
Mkuu sio kuongea sana. Hii ilikuwa ni kujibu alichosema hapo awali. Anyway, ndio mambo ya soka ya humu. Tunachangamsha mabaraza ya JF. Kina Nzi wanaongea sana kuwa juu ya Liverpool, kuwafunga Liverpool, Man City, Spurs kwa mfululizo na wengine tunaongea jinsi kibao kilivyobadilika tangu Fergie astaafu.
Umesahau na jinsi ya kumfunga Arsenal...ulipigwa kwenu kumbuka kwenye EPL...