McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,561
Mkienda OT Man u wanawafunga....nafasi ya 4 inawahusu...
Shikamoo Mourinho.....
Ulitaka ajipangaje mkuu??
Timu imecheza vizuri sana leo...Imeshambulia, imedefend na ilikuwa nzuri kila idara....Sema ni bahati yao tu Chelsea...
Timu iko vizuri na am sure msimu ujao itakuwa vizuri zaidi na kuwa moja ya title contenders...Mwaka huu tulianza vibaya na tunamaliza vizuri, Chelsea wao walianza vizuri na wanamaliza vizuri.....
Ndugu unanipa mashaka na undestanding yako ya game
sio rahisi tukufunga tukicheza hivi....
it is a tactical approach ambayo ni ngumu sana kuitoboa....
tuna shinda our game in hand na INAKUWA 5 POINTS clear with manure kabla ya mechi yetu na wao
kumbuka wanapigika wale kirahisi ni kitu kidogo ku outsmart mbinu zao
Tuombe uhai MANURE hatufungi OT kwa form tuliyopo thats for sure i can even bet for it
kitu kingine kumbuka [Bookmark hii post]
hatupotezi any game to end of the season again
2ND PLACE + FA ni achievement kubwa sana itakuwa tumemaliza 2nd place 2005 mara ya mwisho
ukikataa facts wewe utakuwa na yako moyoni
Ulitaka ajipangaje mkuu??
Timu imecheza vizuri sana leo...Imeshambulia, imedefend na ilikuwa nzuri kila idara....Sema ni bahati yao tu Chelsea...
Timu iko vizuri na am sure msimu ujao itakuwa vizuri zaidi na kuwa moja ya title contenders...Mwaka huu tulianza vibaya na tunamaliza vizuri, Chelsea wao walianza vizuri na wanamaliza vizuri.....
Duh hii ni hatari maana Arsenal kamzidi points 2 Man Utd na ana gemu mkononi ila bado kuna ambao wanaamini Arsenal wana matatizo zaidi ya Utd kweli M.Owen ana kundi kubwa la wapuuzi wenzie wanaomuamini.
No hard feelings though.
Klopp nadhani destination yake kwa sasa ni pale Etihad.kutokana na mafanikio ya timu mpaka sasa pengine asistaafu ila aliwahi kusema msimu uliopita kama asingeshinda FA angestaafu pia kujiuzulu kwa klopp kuna nipa mashaka Wenger asije mwachia kiti
Hivi mnategemea mtakwenda kuifunga ManU kwake kwa mpira km mliocheza Jana? Pale mnakwenda kufungwa tu....ata mfanyeje....mnafikiri LvG atakua kibonde tena kwamba mkifika mnampiga tu....nyie tulieni tu muone kz...
Tunashinda wacha mpira wa meneno mdomoni meengi
we ulikuwa unajaza server kuwa unatupiga kilaini kabisa na huna wasiwasi au sio wewe?
Umetupiga ngapi?
Mnashinda kitu gani nyie....wewe hukuamia Man U kwa mkopo ili sisi tufungwe...ulikua haujazi sarver? Au mkuki kwa nguruwe sio......tulia dawa ikuingie......
Tunapiga wale mwanitesa united mwambie hata naniliu ajue
khekhekhekheeeeeeeeee
Kumaliza mzizi wa fitina, tufanya betting...
Liverpool na Goons wakimaliza ligi juu ya United, sitachangia kwenye jukwaa tukufu la https://www.jamiiforums.com/sports/7036-manchester-united-red-devils-special-thread-1417.html kwa msimu wa mwakani, Mungu akipenda.
Haya, twende sasa...
Nzi upo wapi kaka? Nilikwambia nitaisaka hii post,jitayarishe kutimiza hii ahadi msimu ujao.
Cc Belo, DonDonald, RRONDO, Malafyale,
Nzi upo wapi kaka? Nilikwambia nitaisaka hii post,jitayarishe kutimiza hii ahadi msimu ujao.
Cc Belo, DonDonald, RRONDO, Malafyale,
Hao waliomzomea Mkuu watakuwa MANU lol!
Ni kweli mkuu wachezaji ni kama wafanyakazi wanaweza toka kampuni moja na kwenda nyingine ila na wao wawe wanakumbula fadhila mtu kama van pasi hakuwa na sababu ya kuondo wenga kamvumilia sana na majeruhi anakaa misim miwali ana cheza mechi tatu anaumia msim mzima alivyo pona akatimka na mfano mwingine helb alikuja pale ana anguka anguka alivyo fundishwa akajua akaondoka kwa dharau
Hleb anajutia mpaka Kesho
amesema mara nyingi sana