Nilisemaga Wenger alikosea kutomrudisha Cesc Arsenal. Labda tungekuwa tunakimbiza Ubingwa kama angemrudisha August badala ya kwenda kwa "rentboys".... Next season itakuwa ngoma mkono hadi mtondogoo. Arsenal tutakuwa vizuri zaidi ya tulivyoanza msimu huu. Tukimaliza 2nd spot na kulibeba FA Cup kwa mara ya 2 mfululizo itakuwa a BIG BIG COME UP. Vile vile nataka £150M waishie wa 4.