There is a possibility to play with them on the final match, but they have to be extra careful with AV and that guy Benteke is in excellent form, lol! hahahahaha wewe quote vile upendavyo 🙂🙂.
Goalkeeper Adam Federici was making his 232nd appearance for Reading
Moyo unadunda kama kitenesi.....tunashambuliwa
Hey, Shezny gifted them the equalizer as well.
Huyu jamaa yaani ingekuwa ni amri yangu asingekaa golini kabisa labda kama Ospina kaumia au anaumwa. Magoli mengi tunayofungwa akiwa golini husababishwa na kiherehere chake.
Jamaa alitukosti ubingwa wa Carling Cup vs Birmingham. Unakumbuka ile mechi? Nadhani hata mabeki hawamwamini kabisa.
Huyu jamaa yaani ingekuwa ni amri yangu asingekaa golini kabisa labda kama Ospina kaumia au anaumwa. Magoli mengi tunayofungwa akiwa golini husababishwa na kiherehere chake.
Tatizo sio wosjiech peke yake yake
- Tunapocheza games za CUPs hasa wembely tunaanza so Slow tunaruhusu unnecessary domination ya timu pinzani
- Welbeck kucheza kama CF bado sana to be honest OG is miles far away for him hakuna haja ya kucheza na welubeki na hasifanye enough movement pale mbele kama leo
- Kikosi cha akina Bellerin na Nacho ni bora zaidi
- Mesut game kama ya leo ambayo watu wanaparamia ana under perfome sana
- kwanini Mesut hapigi sehemu anayokuwa anaweza kufunga....mpaka analzimisha assist?
Bora wapite Villa maana LIVERPOOL kwa mtindo wetu huu wa kuanza slow kwenye games kama hizi watatumaliza ukumbuke kuwa wana machungu they will come for REVENGE
Chelsea vs man united.........Chelsea vs QPR, Chelsea wins: 73pts. Arsenal vs Burnley, Arsenal wins: 66pts.
Chelsea vs Man utd, Man utd wins: 73pts. Arsenal wouldn't play bcoz of the FA Cup semi: 66pts.
Chelsea vs Arsenal: Arsenal wins, Chelsea 73pts, Arsenal 69pts. Chelsea vs Leicester, game in hand ends in a draw for Chelsea: 74pts.
Chelsea vs Crystal Palace, Chelsea wins: 77pts. Arsenal vs Hull city, Arsenal wins: 72pts.
Chelsea vs Liverpool, Chelsea lose: 77pts. Arsenal vs Swansea, Arsenal wins: 75pts.
Chelsea vs West Brom, Chelsea wins: 80pts. Arsenal vs Man utd, Arsenal wins: 78pts. Arsenal vs Sunderland, Arsenal wins their game in hand, goes top with 81pts.
Final day Chelsea vs Sunderland, Chelsea wins: 83pts. Arsenal vs West Brom, Arsenal wins: 84pts.
FINAL TABLE standings Arsenal (champs) 84pts Chelsea 83 points
Hili la kuanza mechi too slow nimeliona katika mechi zetu nyingi sana na kama jamaa wakifunga mbili za haraka haraka mchezo ndio umeshakwisha maana watakuwa na confidence ya hali ya juu na sisi kuwa desperate kutafuta goli la kupunguza gap. Na katika jitihada hizi defensive mistake nyingine inaweza kutokea na kutandikwa la tatu. Sijui kwanini Wenger halioni hili. Tunaanza mechi muhimu kama tuko mazoezini au mechi ya kirafiki.
Nasikia Jurgen Klopp anakuja Arsenal