Nhamala;
Hakuna timu inayoingia uwanjani kwenye English premier League ikiwa inajiamini.
League hii siyo sawa na La Liga, kwa maana hiyo ndiyo maana inapendwa zaidi ulimwenguni.
Kujiamini na kufahamu utashinda kabla ya mchezo ni upumbavu.
Hukujifunza kwenye match yako na Bradford!