Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Ana kiporo kimoja ila tunamuombea njaa tu...
Dua la Kuku hilo mkuu.
Ana kiporo kimoja ila tunamuombea njaa tu...
This game is wide open, wanaweza kurudisha.God forbids. Wanacheza vizuri kipindi cha pili, baada ya Daniel Sturridge kuingiza.
Dua la Kuku hilo mkuu.
Siku nyengine linampata mwewe mkuu
Arsenal with injuries again and again. Kila tunapoponyesha mchezaji mmoja, wawili wanaingia wodini.
Na sisi bado ngapi bila kupoteza?
Endelea kuwepo huko ikiwezekana chukua mkopo wa miaka miwili.Nipo Liverpool kwa mkopo
Kwanza na sisi mshapoteza point 3
Leo yule zeruzeru wa Manchester United sijui atasema nini kuhusu Ozil?Nadhani yupo outside yaArsenal changing room anasubiri apewe jezi na autographs toka kwa Ozil au siyo Belo, Nzi,DonDonald,
Sio mashaka ni jinsi navyoliona game linavyokwenda at least 5-10 za kipindi cha pili.Dah wamepewa penalty , goalHutakiwi kuwa na mashaka.......
Japokuwa hutupendi lakini nAkutakia heri zote
Endelea kuwepo huko ikiwezekana chukua mkopo wa miaka miwili.
Bado penalty 2
Hahahaaaaa majogoo bhana hadi watengewe