Wenzenu dakika hizi jogoo lilikuwa linavuja damu, lol
Hapa siyo kulowa au kuvuja damu...hapa limeshapigwa na sasa linarukaruka chini teyari kwa kufa
Hahhhahah litakupataje wakati nami nina kamoyo ka Arsenal,lol
Kiongozi nipo saaaana...sema nikiangalia jinsi tulivyo watam hata kuandika nashindwa....hahaha
Nimefurahi sn kukuona Kiongozi wangu!
Kuna mtu nilimwambia Wenger anaujua umuhimu wa huu mchezo kuliko BR. Leo yametimia.
Asante kuniita mkuu...nipo naangalia, nataka tupande ngazi hadi kuwapumulia Chelsea aisee!!
Asante kuniita mkuu...nipo naangalia, nataka tupande ngazi hadi kuwapumulia Chelsea aisee!!