Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
BAK, Wenger ametoa maelezo yanayoeleweka vzr haihitaji kutia maneno sn ktk hilo.....nikumbushe kua huyu mzee Wenger amekua akitetea baadhi ya vitu ktk mpira ambavo kwa haraka unaweza kuona havina faida lkn pale vinapotumika basi unaona faida yake....kwa mfano matuzi ya replay ktk mpira...hichi ni kitu kizuri sn ktk kuchezesha mpira maana kinaondoa utata ktk maamuzi au mambo tata ambayo mwamuzi hawezi kuona km mwanadamu.....Niseme tu kua hilo swala alilosema huyo mzee ata mimi naliunga mkono.
Asante.
Asante.
Last edited by a moderator: