Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Umepotea sana weye dah! Sijui ndio penzi limezidi kuwa moto moto au maraha ya Burdeos. Ujitahidi kuwepo J'pili kwenye mchapo na L'pool. Wasalimie wakazi wa Burdeos.

Ohhhhhhhh!!!! Na wewe umekuja .......tafadhali Ntuzu ongeza ng'ombe mwingine safi aliyenona chapchap mpigie simu Malafyale aongeze kanzu nyingine safi alete na fimbo ya dhahabu....... Ohhhh!!! Nina furaha sasa wameonekana hawa watu......
 
Last edited by a moderator:

Wasi wasi wangu ni rubaman na BAK kama wapo salama
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha lol! Nimeona picha mtandaoni ya Arsenal nimecheka sana lol! Hahahahaha watu watundu sana aisee nilidhani imeshawekwa hapa kumbe haipo naomba tu #Wasagasumu na #Mburukenge wa humu ndani wasiione. Usiniulize inahusu nini wala siiweki hapa.

Nipo Mkuu bukheri wa afya bado natafakari matokeo ya jana ambayo tulikuwa na kila uwezo wa kufunga hata goli nne, ingekuwa ni furaha iliyoje. Nasubiri mchapo wa Barcelona na MAN C, nitafurahi kama BARCA watakuwa knocked out of the competition ila si kazi rahisi. Hii game ya leo sitakuwa nervous kama ile ya jana.

Wasi wasi wangu ni rubaman na BAK kama wapo salama
 
Man City anachapwa kama mtoto hapo!Barca aliisha fuzu mechi ya kwanza

Ila kuna haja ya kumuangalia Sanchez wenu kwa jicho la pili,jana kawaangusha sana
 
Ohhhhhhhh!!!! Na wewe umekuja .......tafadhali Ntuzu ongeza ng'ombe mwingine safi aliyenona chapchap mpigie simu Malafyale aongeze kanzu nyingine safi alete na fimbo ya dhahabu....... Ohhhh!!! Nina furaha sasa wameonekana hawa watu......

Ng'ombe tayari Wapo Kibao. Muulize BAK Na utafiti Wanataka Kuanza Na Soup au Nyama Ya kuchomwa?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha lol! Nimeona picha mtandaoni ya Arsenal nimecheka sana lol! Hahahahaha watu watundu sana aisee nilidhani imeshawekwa hapa kumbe haipo naomba tu #Wasagasumu na #Mburukenge wa humu ndani wasiione. Usiniulize inahusu nini wala siiweki hapa.

Hahahhah!!bora nimekusikia maana ulikuwa bubu ghafla ulikuwa unaongea kwa likes tu,Nimeiona lakini sipendi kumuumiza utafiti
 
Last edited by a moderator:
Hapana huyu mimi namfagilia sana na jana walikuwa wanamchezea rafu nyingi huku refa akipeta katika nyingi ya rafu hizo na baada ya kupewa yellow card ambayo hakustahili ilibidi awe makini ili asipewe ya pili.

Man City anachapwa kama mtoto hapo!Barca aliisha fuzu mechi ya kwanza

Ila kuna haja ya kumuangalia Sanchez wenu kwa jicho la pili,jana kawaangusha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…