walishinda nyumbani,wakabana ugenini wakafungwa,arsenal walifungwa 3 wakastruggle ugeneni wakapata mawili,usiwe na chuki na EPLvyovyote vile utakavyoongea ila Bayer kajitahidi sana kwa Atletico, sio kama huyu Arsenal.
nawakubali i wish wachukue kombe
pia naona bayern munich wameshuka kiwango,barcelona na real madrid unaona,sasa tuseme PSG atachukua?ATM wameshuka sana kiwango si kama wale wa msimu iliopita tena. Safari yao inaweza kuishia robo
pia naona bayern munich wameshuka kiwango,barcelona na real madrid unaona,sasa tuseme PSG atachukua?
kwangu bingwa ni ATMRM wachezaji wao wamerud, Barca wako vizuri mno kwa sasa, Bayern Munich hawatabiriki, PSG nao itategemea hatua inayofuata anakutana na nani.
Kwa mtazamo wangu bingwa ni kati ya hizi timu nne.
Wapendwa mlale salama mliopatwa na msiba poleni sana take it easy....kuna watu humu wananipa hofu sijui usalama wao ukoje utafiti itika basi niwe na amani BAK kipenzi changu umenuna mpaka nakuogopa take it easy beibiii bado kuna FA na EPL. kitwala nakuachia hiki kigodoro Hakikisha hamna fujo zinatokea hapa....
kwangu bingwa ni ATM
Namwamini diego simeoni,kumbuka real madrid ni wateja wa ATM,hizi mechi ugumu nanani anakutana na naniNgoja tusubiri
Mechi za robo fainal zitatupa picha halisi.
Namwamini diego simeoni,kumbuka real madrid ni wateja wa ATM,hizi mechi ugumu nanani anakutana na nani
nahisi kila mtu anamtamani monacoNi kweli kabisa na ndiyo maana nikasema mechi za robo zitatoa taswira halisi maana kuna timu zitakanyagana na zingine zitapata mseleleko.
Kuna timu kama
Porto
Borusia/Juve
Monaco
Hazitishi kiviiiile ila bahati tu imewaangukia. Sasa hawa wanaweza kuwa madaraja mazuri sana kwa baadhi ya timu. Japo ktk soccer lolote linaweza kutokea. Usiye mdhania ndiye akawa bingwa.
Yakajirudia yale ya 2004
Monaco na Porto kucheza fainali.
Hii ndo CL hakuna mnyonge
Hata kama tunaishia last 16 kila mwaka ni poa, kuna siku utashangaa tunapenya [/B]
hata nyie mliishia wa mwisho katika group miaka michache iliyopita.[/B]
Kumbe mnasubiria kupenya?!? No wonder ni wazee wa #Sweet16
Unataka tujadili historia? Nitakuacha uchi arifu. Ni bora tujadili ya leo leo
Alichokifanya Nzi ni kuonesha kuwa Ushindi wa 2 bila hautoshi kuwafanya msonge mbele na huo ndio ukweli wenyewe, hakuna cha jinamizi wala nini! Tunawatakia kila la haki japo si rahisi kihivyo!
It is all about soccer..tujipange kwamsimu ujao wana gunners
Yaani natamani kukuche hats now nitoke na vuvuzela langu...matter of fact wacha niende club.
kwangu bingwa ni ATM