Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Siku zote...fifth consecutive seasons wazee wa 2nd round 😂😂😂😂😂
 
Daah mpira umeisha na inaumiza sana tena sana!!...ila makosa tuliyafanya wenyewe kwenye ile mechi ya kwanza nyumbani kwetu.
 
Baada ya kutoka 3-3 uwanjani monaco yapita baada ya kwenda mezani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…