Honey Faith akihakikisha ushindi basi huwa hakosei, ila sijaridhishwa na kiwango cha uchezaji anao anao nyingi sana hasa tunapokuwa kwenye goli la WH. Kwa kiwango hiki sidhani kama tutaweza kuwafunga Monaco 3-0 kwao hiyo March 17, 2015.
Sasa Honey Faith uwe unazuka kila mechi basi ili utuletee kismat chako tangu uje tunashinda tu, ukiweza kuzuka hapa katika mechi zote 9 zilizobaki hivyo kushinda zote na kujinyakulia 27 points tutatisha sana na hivyo kuziweka roho juu timu zilizo mbele yetu.
Shukrani nawaombea nanyi kila la heri ili mfanikiwe kutoa draw ili tuwe juu yenu kwa 3 points, mkifungwa itakuwa nomaa na si mechi rahisi wale Spurs siku za karibuni wamekuwa tishio.