Mpira hautabiriki. Nilidhani Arsenal na Man City tu ndo watatolewa raundi hii. Chelsea wamekuwa wa kwanza kuyaaga. Tusubiri makamilisho next week. Come on ARSENAL!!!!!!

Jiandane na nyie, wekeni mabegi yenu tayari, kuleni kabisa. Pia msisahau kuaga mashabiki wenu.
Safari ni Jumanne Wiki ijayo hukooo Ufaransa. Safari Njema.