Niseme nini tena? Hongereni sana Arsenal fans.
Wenger amewapatia harufu kidogo.
Mpira haukuwa mzuri...nothing of flowing football..no pace..dives and silly fouls.
Arsenal ni timu ya ajabu. Di Maria alitolewa uwanjani lakini Arsenal hawakuonekana wanataka ku-kill the game. Hakuna mchezaji anaweza kuvurumisha kombora, wanataka kufunga mabao ya slow motion.
Kwa kweli bahati ilikuwa upande wenu leo kwa kutolewa Di Maria. Isingekuwa hivyo, hii mechi ingeishia kwa sare au Arsenal kufungwa.
Wenger out or in?
Unajua kusoma kweli?
Kama unajua , soma nilichokiandika tena.
Usiwe unarukia daladala tu bila kujua inaelekea wapi.
Wewe humjui the gel??
Uliza mdudu Nzi.
Paul Scholes: "When Man United face Arsenal on Monday, it is hard to see Arsenal winning."
Be happy!!mr am in gud mud and i dont wish to luz it fanya yameisha, gudnait
Wait a munite, Mr....Do I know you?Hujitambui weye!!! Naona unabwabwaja tu na kutaka kujifanya Sheikh Yahya!!! Kila la heri kwenye idara ya utabiri AKA usheikh Yahya.
Mlivyocheza leo..aina ile ya uchezaji ndio "on fire"?
Kama jibu ni yes, then "you will get burned".
Jifunze kuzoe hii hali uwa inaanza taratibu ila utaizoe tu haaaahaa inakera kulala na hasira ila haina jinsi fikiria utawezaje kumaliza top four ndio kombe rasmi lililobaki,Arsenal na Wembley ni kama barmaid na opener teheee teheeee semifinal ya 28 na kuna dalili za kua final inakera ila zoea maisha yako mapya na andaa champagne ukimaliza top four nakufundisha maana mimi nina uzoefu mkuu.
Hongera sana gooners..
bado mourinho...mana tushaondoa rekodi mbaya dhidi ya city,man u natumaini pia kwa mourinho