Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

unataka iweje mkuu

hasa kwa mech ngumu kama ile ya monaco rosicky acheze 8 mbele kidogo ya coquelin na cazorla acheze no. 10 hlf ozil ataingia kama baadae kumbuka ozil hawezi kukaa na mpira muda mrefu kama cazorla wala sio mpigaji mashoot pia sio mkabaji mzur kama rosicky au cazorla
 
Kesho natarajia tuzidi kujishindilia katika nafasi ya 3 kama sio kupunguza gap kati yetu na Manchester City. CYOG!!!!!
 
Gemu kama ya leo uwa zinanipa presha sana hawa walioko kwenye relegation wanakamia hasa sintoshangaa sisi wa nafasi ya 3 tukapata upinzani toka kwa timu ya 18 hasa wakiwa home ingawa QPR msimu huu home hawana rekodi nzuri,mabeki wawe makini na C Austin jamaa ni clinical finisher.
COYG
 
zp_540739265_SM_0304_7F_221677_2695.jpg

Mazoezi ya mwisho kuelekea kuwakabili QPR usiku wa leo.

zp_540739265_SM_9553_1C_22169B_5928.jpg

Aaron Ramsey karejea na kuna uwezekano game ya leo akaanza au akatokea bench.
zp_540739265_SM_0268_8E_221674_2639.jpg

zp_540739265_SM_9499_A9_221694_4320.jpg

#COYG .
 
Hongera wakuu. Hakika mmedhihirisha mnataka nafasi ya pili.

CC: Mbu BAK etc all
 
Last edited by a moderator:
giroud yuko on fire sana..na jambo zuri kwa sanchez kacheka na nyavu baada ya mechi 7 itampa confidence zaidi...
 
top four iko very tight nilitegemea jana mmoja wa wapinzani wetu angeharibu hasa Manure...japo km kawaida yake bahati ikambeba
 
Back
Top Bottom