Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ahsante sana Mkuu Ntuzu bado tunajitahidi katika kutetea nafasi yetu ya kuwemo kwenye nne bora, mie nimeshaichoka nataka ubingwa sasa.

Hongera wakuu. Hakika mmedhihirisha mnataka nafasi ya pili.

CC: Mbu BAK etc all
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana Mkuu Ntuzu bado tunajitahidi katika kutetea nafasi yetu ya kuwemo kwenye nne bora, mie nimeshaichoka nataka ubingwa sasa.

Mkuu ubingwa haupo mbali.Nina uhakika na statement hii.Muda si mrefu tutarudi juu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ubingwa haupo mbali.Nina uhakika na statement hii.Muda si mrefu tutarudi juu.

Ubingwa Arsenal hapana, kwa mwakani inaweza kuwa ndiyo but kwa mwaka huu akimbie mbio zake tu za big 4
 
INJURY UPDATES
The Boss (Wenger) amethibitisha kua Gabriel Paulista amepata majeruhi harmstring na atakua nje ya uwanja kwa wiki 2 au 3 baada ya kuitumikia Arsenal kwa gemu 2 tu amejiunga kwenye orodha ya majeruhi.
 
Ubingwa Arsenal hapana, kwa mwakani inaweza kuwa ndiyo but kwa mwaka huu akimbie mbio zake tu za big 4
Upo uwezekano wa Liverpool au Arsenal kuukwaa ubingwa msimu huu.

Chelsea na Man. city zitapoteza michezo mingi iliyobakia.
 
Ubingwa Arsenal hapana, kwa mwakani inaweza kuwa ndiyo but kwa mwaka huu akimbie mbio zake tu za big 4
Arsene anajua kucheza na saikolojia ya mashabiki wa Arsenal.

Mechi za Arsenal zina utamu wake kuziangalia. Ni kama Suspension films.
 
Upo uwezekano wa Liverpool au Arsenal kuukwaa ubingwa msimu huu.

Chelsea na Man. city zitapoteza michezo mingi iliyobakia.

Siyo rahisi kihivyo, kwa mahesabu ya haraka haraka Chelsea anahitaji kushida mechi kama 7 tu kati ya michezo yake 11 iliyobakia atawazwe ubingwa. Na kwa trend ilivyo Chelsea anauhakika wa kushinda hizo mechi. Arsenal, Man U, Liverpool na Man C mbio zetu ni kwenye zile nafasi tatu zilizobaki kwa maana ya big 4 na siyo ubingwa. Wakati mwingine tusitegemee miujiza sana kwenye soccer, kuteleza au kupoteza mwelekeo kwa team flan kupo lakini siyo sababu inayojitosheleza kutuaminisha kuwa itatokea.
 
Chelsea kacheza mechi 28 kapoteza mbili tu, katika kumi zilizobaki hawezi kupoteza sita. Sio mourinho kiongozi.

Marekebisho kidogo mkuu, Chelsea kacheza mechi 27, kashinda 19, sare 6 na kapoteza mechi 2.
Ukweli ni kuwa kwa kikosi kipana alichonacho kuukosa ubingwa ni miujiza.
 
Hivi Wacha1 yuko wapi? Toka dozi kutoka kwa vijana wa parc des prince sijamuona!
 
Last edited by a moderator:
Three reasons Arsenal will beat Man u in FA Cup

Many thought Sir Alex Ferguson was simply a better tactician than Arsene Wenger, but as the last two seasons have shown – no matter how bad United are playing, Arsenal just can’t beat them, especially at Old Trafford. I hope and think this will change on Monday. Here’s three reasons why:

1. We’ve recently broken our awful record in Manchester

Whilst we haven’t beaten United for a long time in Manchester, we have beaten City earlier this year. That will hopefully give the players a confidence boost and make them believe that beating another big team away from home is possible. If the Gunners can manage a win on Monday then they would look to have certainly put their big-game troubles to bed.

2. Mesut Ozil is back to his best

For Arsenal to beat a team of United’s calibre they need their world class players on form. Sadly, since Ozil arrived from Madrid he has struggled to perform consistently in the big games for the Gunners. However, he is now in good shape and has regularly been a standout performer for the Gunners in 2015. If he can put in another top performance on Monday then Arsenal are very likely to come out on top.

3. Olivier Giroud is on form

The Gunners have often failed to break down United in recent years, especially at Old Trafford. Hopefully this will change on Monday as Giroud has started to find some very good form for the Gunners. He has started to perform better in the big games too, but his performances against Monaco and Tottenham were extremely forgettable. I hope he can continue his recent form in this game as having a striker who can score at Old Trafford is essential. He’ll need to be at his best if Arsenal win this one, and I’m confident that he will be.

1425799149095.jpg
 
Back
Top Bottom