Sijui wat's happened, unajua nilikuwa naandika maoni na nika-send when i was on the ride, asa sijui yame-sepa wapi, manake ata thread sijaiona.Manda hebu leta maoni please........
Pole sana mkuu!chamakh aliyetaka kulazimisha hapa january si alikuwa available summer sema akaweka pozi kwenye dau? huntelaar angeweza kumleta onloan sema hakuwa na nia hio. tatizo alipigia hesabu sana kurudi kwa ben na akapuuzia wakati kuna vitu kama injury mkuu.
ligi ni ngumu mno na unahitaji kuwa kamili kila namba ,huwezi kutemegea wachezaji wanaopata injury kila saa.
inaonesha wengi wetu tumelizika kumaliza top 4 kila msimu kwahio powa tu tuendelee kushangilia kumaliza top 4 ikifika may.
Mechi zimebakia 13 kwa hiyo bado ninaamini kuwa bado tuko kwenye title race.J'tano tunamaliza kibarua kigumu sasa mechi zifuatazo ndo za kufungia kazi.Nina uhakika kuwa bado uwezekano wa kuchukua hili kombe tunao.
Pole sana mkuu!
Mkuu upo hongera kwa matokeo ya leo, lakini kumbuka kuifunga Arsenal sio ufunguo wa kikombe.Bado kuna mechi 13 zimebakia hilo naomba usilisahauKeep dreaming, Bolini.
Ha ha ha mkuu upo mzima wewe?Mzee hukunijibukwanibi washabiki wafat arse huwa hawana akili wankers na wajinga all da Tyme ?
Ikumbukwe kuwa J'tano tutakuwa nyumbani tukiwakaribisha Liverpool,Manu watakuwa ugenini kwa Aston villa na Chelsea watakuwa ugenini kwa everton baada ya hapo tena Manu watakuwa ugenini kwa Everton sisi tutakuwa nyumbani na Sunderland chelsea watakuwa ugenini na Wolverhampon.Ndugu zanguni tusikate tamaa bado mapema sana.
Inaanzia kwa kocha wao, Mr. Wenger, ni ugonjwa wa kuambukiza ndani ya kambi ya Emirates, unategemea nini kama Bwabwa1 ndio anaonekana Genius!Mzee hukunijibukwanibi washabiki wafat arse huwa hawana akili wankers na wajinga all da Tyme ?
kwa mpira huu wa kusubiri kupiga chenga mpaka kipa, itawa kosti arsenal mechi nyingi, Asharvin alisema bila forward hakuna kitu, nilitowa list mwanzoni watu wakaona mdebwedo, Glich hawezi kucheza kwa nguvu, Cambell angeliweza kucheza kwa nguvu na kukaba, Arsenal formation yao hakuna kukaba kwani ukikaba unapunguza nafasi, jee kwa timu kama Chelsea itakuwa vipi?
Kwa mpira huu hata Leverpool wana mabao yao yapo tayari, wala Arsenal wasijip[e matumaini ikiwa hawakubadilika,
Duh watani poleni.
Michael Ballack and Cesc Fabregas battled for the ball early on...
...before Didier Drogba fired Chelsea into an early lead.
Drogba celebrates after opening the scoring...
...before showing his commitment to the Chelsea fans.
Drogba drills home to double Chelsea's lead at the Bridge.