last week mlisema ManU amewaotea,....angalau leo mnakubali kuwa mziki ule ulikuwa mzito.........
bado game moja ndio nitajua kwamba nikate tamaa ya ubingwa au hapana.
Wacha1.......unajua kwa tunaofutailia hii ligi......kwa leo mlitakiwa mtoe doroo hapo walau mngeleta matumaini......lakini hiki kipigo....ndio bye bye tena......wakati huu sio wa kupoteza poteza mechi namna ile aisee.........
mkuu mbona refa leo alikuwa powa tu,wrong calls zilikuwa kidogo sana ambazo wala hazija make difference.tumepoteza kwa style hile hile tu ya siku zote.Refa anapotoa 50-50 against you all the time una kazi kubwa, endeleeni tu kuwanunua marefa na hiyo FA iliyojaa Mafioso. Tumekwisha wazoea.
tukimfunga liverpool nitakuwa na hope kwamba chelsea au aman united na liverpool watapoteza mechi watakapo kutana wenyewe kwa wenyewe.pia bado hawajakutana na villa ambaye mechi za kwanza aliwafunga.Inavyoonekana utabiri wangu unatimia. Kwenye gemu nne nilisema ARSE wakijitahidi saaaaaana wataambulia points 2 kati ya 12. Na inavyoonekana mkijitahidi hili lengo litawezekana 😀
mkuu mbona refa leo alikuwa powa tu,wrong calls zilikuwa kidogo sana ambazo wala hazija make difference.tumepoteza kwa style hile hile tu ya siku zote.
hizi timu kubwa bora tucheze defensive game tu sometimes kulikoni kujiachia alafu tunajikuta tunafungwa kijinga.
kila siku tunalia na kusajiliwa wachezaji wawili atleast lakini AW anajifanya yeye mjuaji kwahio tuendelee na vita kwa jeshi tuliokuwa nalo.
Mkuu mambo bado wala usiwe na shaka hii ni February tu na kama umeangalia mechi ya leo Live Chelsick walikuwa wamechoka sana, Arshavin na Nasri wamekosa two good opportunities. Subiri mwezi wa tano tuta-compare notes. Arsenal kesha maliza the top clubs sasa anaelekea timu za chini, the spirit ya wachezaji leo ilikuwa tofauti na mechi ya Manure lets wait.
mkuu mbona refa leo alikuwa powa tu,wrong calls zilikuwa kidogo sana ambazo wala hazija make difference.tumepoteza kwa style hile hile tu ya siku zote.
hizi timu kubwa bora tucheze defensive game tu sometimes kulikoni kujiachia alafu tunajikuta tunafungwa kijinga.
kila siku tunalia na kusajiliwa wachezaji wawili atleast lakini AW anajifanya yeye mjuaji kwahio tuendelee na vita kwa jeshi tuliokuwa nalo.
tukimfunga liverpool nitakuwa na hope kwamba chelsea au aman united na liverpool watapoteza mechi watakapo kutana wenyewe kwa wenyewe.pia bado hawajakutana na villa ambaye mechi za kwanza aliwafunga.
nategemea sana msaada kutoka kwa timu zingine japokuwa mie mwenyewe nimeshindwa kujisaidia.

Mzee Ogah acha kumdanganya bana. Nilishasema tangu msimu ulipoanza timu zilizojiandaa vyema msimu huu kumtwaa mwali ni ManU na Chelsea na so far utabiri wangu upo intact........kama wewe hukuwa mchezaji mpira basi wewe ni mfuatiliaji mzuri wa soccer.........i like your determination/observations.......
watu wengine kwa midomo yao ya mikosi, kha kazi kweli kweli...Mzee Ogah acha kumdanganya bana. Nilishasema tangu msimu ulipoanza timu zilizojiandaa vyema msimu huu kumtwaa mwali ni ManU na Chelsea na so far utabiri wangu upo intact.
Bwabwa1 ni Tikiti Maji hilo, kila mtu achovya!Bwabwa1 will remain shoga for life poleni sana gunners
Bwabwa1 ni Tikiti Maji hilo, kila mtu achovya!
Bwabwa1 will remain shoga for life poleni sana gunners
chamakh aliyetaka kulazimisha hapa january si alikuwa available summer sema akaweka pozi kwenye dau? huntelaar angeweza kumleta onloan sema hakuwa na nia hio. tatizo alipigia hesabu sana kurudi kwa ben na akapuuzia wakati kuna vitu kama injury mkuu.Angalia goli la kwanza Freekick aliyotoa kwa Song ilikuwa sio sahihi ambayo ndio ilifuatia kona.
Arsene hawezi tu kununua, nani alikuwa available kununuliwa na kwa kiasi gani? Suggest kwa sababu kuna more than 30 million kwa ajili ya usajili.