Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
wakuu yeyote mwenye link ya kuangalia online namba anisaidie
Hawa Monaco mbona kama hawajiamini amini. Any way ngoja tujipigie.
Nitaanza kukukumbusha kila week kuanzia week ijayo!
Hauna team ya kumaliza above sisi Majogoo
half time,subirini sub za wenger ndo mtachoka