Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahahahaha lol!!!! Eti majungu 🙂🙂 sema kama nimesema uongo, katimu kamchangani kamewatoa kijasho chembamba hata mgeongezewa 90 nyingine bado msingeziona nyavu zao labda nyie ndio mngelambwa bao lol!!!

Ahhh wapi!! Wasingefunga wenyewe walikamia sana kuzuia na ndo maana after game walishangilia sana kama vile wameshinda,at OT lazima tuheshimiane.......lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa timu ya mchangani ambayo bajeti yake ya mwaka mzima ni sawa na mshahara wa Di Maria kila baada ya siku 38 kutoa sare na MANU kwao ni achievement kubwa sana, hivyo walikuwa na haki ya kushangilia kama vile wameshinda kombe na msipokuwa waangalifu wiki ijayo basi mnaweza kuadhirika, they have nothing to lose...🙂 wakikuboa hao MANU karibu kwetu najua unatuhusudu 🙂🙂

article-2924940-250B177200000578-6_964x386.jpg

Alexis anakula bata kwenye bench .... .... ....
 
Mpira umeanza tena baada ya mapumziko na hakuna timu ilofanya mabadiliko.
 
Kwa timu ya mchangani ambayo bajeti yake ya mwaka mzima ni sawa na mshahara wa Di Maria kila baada ya siku 38 kutoa sare na MANU kwao ni achievement kubwa sana, hivyo walikuwa na haki ya kushangilia kama vile wameshinda kombe na msipokuwa waangalifu wiki ijayo basi mnaweza kuadhirika, they have nothing to lose...🙂 wakikuboa hao MANU karibu kwetu najua unatuhusudu 🙂🙂

Ahhh!!! Wapi love sana MANU huko kwenu nitakufa Zaidi kwa presha the Professor akianza kufanya yake......nyie lenu FA ndo size yenu mengine mtayasikia tu miaka nenda miaka rudi.
 
Ila kiukweli ninawakubali toka moyoni sababu mkiwa dimbani mnaleta raha ya kabumbu ila kuwa shabiki hapana,labda shabiki mandazi lol
 
Brighton wanapata goli hapa ngoja tuone chacha naona #Mburukenge wananyatia jukwaa .... ... ..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mhhhhh! Haya banaaa huyu kipa katufungisha tena mpira ambao haukustahili kuzigusa nyavu.

Ahhh!!! Wapi love sana MANU huko kwenu nitakufa Zaidi kwa presha the Professor akianza kufanya yake......nyie lenu FA ndo size yenu mengine mtayasikia tu miaka nenda miaka rudi.
 
Chris O Grady leo amekuwa akihangaika na Calum Chambers ameanza kipindi cha pili kwa kusuasua.

Arsenal wanajaribu kurudisha hehima yao ya kipindi cha kwanza akin Brigthon wamekuwa "rejuvenated" wamekuja na mawazo mapya.

Mzee Wenger amegundua Flamini amechoka kwa kuzungukwa na

Rosickyyyyyyyy

Arsenal 3 Brighton 1
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom