lol!!!! hahahahahah ushindi wetu banaaa usihofu 🙂🙂...ulienda kutuchawia tufungwe? maana umepotea kipindi lol! hahahahaha
Yaani mimi niwaroge wapendwa wangu hapana aisee!!!!
vikombe vya mbuzi ndo saiz yenu!
congratulation!
Sikuangalia mechi lakini kama vile tumeponea chupchup madogo waliweka mguu.Nevertheless tumepita tunasubiri kupangiwa na kati ya Chelsea and Manchester city