Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

CC: everlenk, biashara asubuhi jioni kuhesabu faida huku unakula nyama choma na moja moto moja baridi 🙂🙂
 
Last edited by a moderator:
Arsenal wamevalia jezi zao za njano na kaptura za rangi ya blue.

Szczesny anarudi uwanjani baada ya kuwekwa pembeni kwa muda kutokana na kuonyesha tabia za ajabuajabu uwanjani na hata nje ya uwanja.
 
Mzee Wenger amekiri kwamba amekuwa akifuatilia hii timu kwa wiki nzima.
 
Brighton wanahangaika hawajaugusa mpira kwa muda sasa, mipango walopanga yote imevurugika.
 
CC: everlenk, biashara asubuhi jioni kuhesabu faida huku unakula nyama choma na moja moto moja baridi 🙂🙂

Hahaha!!! Kama kawaida chukua chako mapema,nishawaombea heri ila ole wenu......mpira dk 90. Hongereni aisee.......
 
Last edited by a moderator:
Arsenal_3176038b.jpg

Theo akishangilia goli la kwanza alilofunga kwenye dakika ya tu!
 
Naona Theo ametua kwa mara ya kwanza baada ya kuwa anakosakosa zile sitters ...... ......... . ..... bring them on.
 
Brighton wameanza kujenga imani kwamba wanaweza kufanya yake yalofanywa na Bradford City. Wanacheza huku wakimtumia zaidi Baldock Savage ambe leo anacheza mbele badala ya nafasi yake ya pembeni.
 
Najua unatupenda maana unajua tunavyotandaza soka la uhakika 🙂🙂 Shukrani kwa kutuombea heri. Hata macho na akili vyote huburudika kutizama soka la Gunners, 2-0.

Hahaha!!! Kama kawaida chukua chako mapema,nishawaombea heri ila ole wenu......mpira dk 90. Hongereni aisee.......
 
Back
Top Bottom