Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal wamejaribu kuipangua tena ngome ya Brighton mara mbili na wamepoteza nafasi.

Dakika inakwenda ni ya 23
 
Arsenal wanabuzz na Brighton wanashindwa kabisa kucheza mpira.

Mesut Ozil nae anajipatia goli.
 
1422203948757.jpg
 
Arsenal wamemiliki mpira na kutawala mchezo kwa kiasi kikubwa.

Olivier Giroud ameunganisha vizuri sehemu ya kiungo na ulinzi akiwa anashuka kidogo na kupanda hivyo kuwachanganya Brighton na kuwafanya Walcott na Ozil wafunge kirahisi magoli yao.

Dakika inakwenda ya 42

Brighton 0 Arsenal 2
 
Brighton wanapata nafasi ya kupiga mpira wa adhabu ndani ya mita 15

Na Gibbs anaokoa kwa kichwa na Arsenal wanamiliki tena mpira Ramsey anagonga kwa Ozil nae anarudisha kwa Monreal anagonga kwa Flamini, yaani wanachezea tu mpira wakingoja Half-time.
 
Hahahahaha lol!!!! Eti majungu 🙂🙂 sema kama nimesema uongo, katimu kamchangani kamewatoa kijasho chembamba hata mgeongezewa 90 nyingine bado msingeziona nyavu zao labda nyie ndio mngelambwa bao lol!!!

Hahaha!! Kwenda zako na majungu yako,shauri yako mpira dakika 90.
 
Imeongezwa dakika mpja ya nyongeza na wakati wowote.

Arsenal wametawala mchezo kaw asilimia 63

Ni Half-Time sasa
 
Acha niwatie donge, yule mdudu Nzi anachungulia kwa mbali na #mburukenge pia walitaka kuja kufanya karamu sasa nyuso zimewashuka lol!

BAK unawauminza wenzio weye .... .... .... .... .. .
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom