Siio kweli bra Belo, mimi nina uhakika wa kuondoka na 9 points, game ya jana ni mambo ya kawaida sana kwenye game wala sio jambo la kukatisha tamaa kihivyoPoleni sana kila siku tunasema watoto bado hao,kwenye hizi gemu 4 huenda mkaambulia point 1
Less than 4hours kabla dirisha la usajili halijafungwa wazee 😡 !!!
..."wenzetu wananunuliwa 'viguo vya sikukuu' sie hata dalili hamna... "
......Mbu daaah umenikumbusha mbali sana mzee.......Babu naye sijui kwanini hataki watu ''tusherehekee sikuu'' kama watoto wa wenzetu....aaaaaarrrgg!
...dah, hivi sasa ni 17:00:00 kwa saa za GMT, na Big Ben huyoooo anagonga kuashiria kufungwa rasmi dirisha dogo la usajili....
ndio kusema kweli Arsene Wenger zaidi ya Sol Campbell, kashindwa hata kusajili striker on loan basis kweli? Inauma sana aisee...
Anyway,...
machungu ndio majaaliwa yetu sie. Acha tujifariji na 'chenga twawala' tu sasa 🙁
Yaani wewe hata hesabu zimekushinda au umechanganywa na kipigo?! Umecheza mechi 2 kati ya hizo 4, umetoka sare moja na kufungwa moja hivyo una pointi 1 mpaka sasa na mechi 2 zimebaki....sasa hizo pointi tisa ambazo una uhakika nazo zinatoka wapi?!Siio kweli bra Belo, mimi nina uhakika wa kuondoka na 9 points, game ya jana ni mambo ya kawaida sana kwenye game wala sio jambo la kukatisha tamaa kihivyo
Yaani wewe hata hesabu zimekushinda au umechanganywa na kipigo?! Umecheza mechi 2 kati ya hizo 4, umetoka sare moja na kufungwa moja hivyo una pointi 1 mpaka sasa na mechi 2 zimebaki....sasa hizo pointi tisa ambazo una uhakika nazo zinatoka wapi?!
Labda kwa kusaidia:
1. Ukishinda mechi......pointi 3
2. Ukitoka sare......... pointi 1
3. Ukifungwa.............pointi 0
... (I doubt about our ability to defeat Chelsea, but in soccer anything is possible....hahahahaha tunajifagilia)...
kinacho tuangusha ni wachezaji wetu hawana winning mentality....Bro, nia ya kuwafunga tunayo, uwezo wa uwafunga tunao, na sababu za kuwafunga tunazo....
...CUM ON YOU GUNNERZ!
mkuu hakuna wakati mgumu na huwa na umwa kichwa kama wakati wa usajili.huyu mzee yuko tayari kuondoka lakini board haipo tayari kumruhusu.Wenger hatoacha kutufanyia vituko na anajua ni wachezaji wa wili au watatu tu wamaana akisajili timu inapata kombe.lakini mzee kaichoka uingereza na sidhani kama mkataba wake safari hii ukiisha ata sign mpya kama ataumaliza salama huu wa sasa hivi....dah, hivi sasa ni 17:00:00 kwa saa za GMT, na Big Ben huyoooo anagonga kuashiria kufungwa rasmi dirisha dogo la usajili....
ndio kusema kweli Arsene Wenger zaidi ya Sol Campbell, kashindwa hata kusajili striker on loan basis kweli? Inauma sana aisee...
Anyway,...
machungu ndio majaaliwa yetu sie. Acha tujifariji na 'chenga twawala' tu sasa 🙁
mkuu hakuna wakati mgumu na huwa na umwa kichwa kama wakati wa usajili.huyu mzee yuko tayari kuondoka lakini board haipo tayari kumruhusu.Wenger hatoacha kutufanyia vituko na anajua ni wachezaji wa wili au watatu tu wamaana akisajili timu inapata kombe.lakini mzee kaichoka uingereza na sidhani kama mkataba wake safari hii ukiisha ata sign mpya kama ataumaliza salama huu wa sasa hivi.
Mwaka jana huwezi kuamini kuna wakati nilikuwa naombea tusimalize top 4 hili tuweze kupata changes Emirates,matokeo yake tukafanikiwa na Wenger akaweza kujitetea na board ikaendelea kumkumbatia.kama tusingemaliza top 4 mwaka jana mabadiriko yangekuja mkuu bila shaka lakini alichotufanyia usajili huu mdogo licha ya kuuza adebayor na RVP kuwa injury ni tosha kuwa AW kaichoka Arsenal.
Akishinda kikombe mwaka huu utasema nini?
Kikombe cha Mbuzi labda huko Mwanelumango!
Akishinda kikombe mwaka huu utasema nini? kumbukeni Arsenal anapigwa vita kila upande kuanzia kutoka FA et al. Hii ratiba ya kucheza na vilabu vyote vikubwa at the same time katika big 4 nani anayo? Nobody.