Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Waganga njaa wamejazana tu humu. There is only one club Arsenal. Chi unaona menyewe lazima watuhusishe kwenye kila kitu. COYG
 
gun__1420537959_mertesacker_hull_facup.jpg

Wakuu wa
Gunners mtanange wetu wa kukata na shoka ni J2 mchana, wachezaji wote nyota wa Gunners hivi sasa wanafanya mazoezi ya nguvu kujiimarisha kwenye round ya pili ya EPL pamoja na michuano ya Champion League bila kusahau utetezi wa FA cup .... .... ... patamu hapo. Mesut Ozil, Aaron Ramsey, Mathieu Flamini, Mathieu Debuchy pamoja na Olivier Giroud ambaye alifungiwa mechi tatu naye yupo available kukwaana na Stoke City. Danny Welbeck ipo gonjwa. COYG

BTW Yaya Sanogo ataenda kwa mkopo Hull City kama watamuhitaji wakilaza damu ataenda Ufaransa kwa nkopo.
 
Eti nasikia kuna jamaa mwingine wa jukwaa hili kaomba radhi kwa kuvuta sigara bafuni baada ya kufanya blunders kwenye kile kichapo cha Southampton?

Halafu nasikia boss wake kamtetea kwa kusema kuwa jamaa huyo "is not the first one or the last one" ovyo ovyo?

Of course, tunajua siyo wa kwanza, ila nasubiri the next one, till we get to the last one.
 
Yepi ya moyoni????

'He said nothing to me. He did not call me or say
goodbye,' Podolski told The Sun .
'I don't need flowers or a kiss from him but it is
about respect, about saying goodbye. For me
respect is important.
'I did everything for the club I possibly could
have. I don't believe I did anything wrong. I did
not get drunk in a club.'
Podolski did however thank the Arsenal fans as
he was unveiled at the Serie A club.
 
Kama ndo ivyo mzee kazingua.
 
Kama ndo ivyo mzee kazingua.

Arsenal manager Arsene Wenger denies he
disrespected Lukas Podolski and says he let the
striker go out on loan because he is overstocked
with attacking players.

Hivi hawa attacking players Babu Wenger anaosema wamezidi wako wapi?
Au ndo sub za kina Sanogo?
 
Labda ana mpango wa kuongeza strikers classic this January.
 
'He said nothing to me. He did not call me or say
goodbye,' Podolski told The Sun .
'I don't need flowers or a kiss from him but it is
about respect, about saying goodbye. For me
respect is important.
'I did everything for the club I possibly could
have. I don't believe I did anything wrong. I did
not get drunk in a club.'
Podolski did however thank the Arsenal fans as
he was unveiled at the Serie A club.

Kwa hilo mzee Wenger hakufanya kiprofeshenali...!
 
Kwa hilo mzee Wenger hakufanya kiprofeshenali...!

Ulikuwepo au unasikiliza magazeti? Pod alikuwa na mkataba na Gunners na anayeweza kukubali aende kwa mkopo ni Prof pekee, umekalia mambo ya udaku na ushirikina. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee then unasikiliza watu wanaosema kuna fear play nicheke mie khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom