Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Goons wakiwa wa 4 katika EPL nasitisha kuwa shabiki wa Man United kwa msimu ujao (msimu mmoja tu)

Ila lile dau la kuhamia Arsenal kama ikishinda UCL lipo pale pale...

Tumeshakuzowea,hizi ni bet hewa hazipo controlled.
 
Tumeshakuzowea,hizi ni bet hewa hazipo controlled.

Umeshazowea? Ebu nionyeshe ni lini nilifanya bet na watu wa goons, nikashindwa, na sikutimiza bet yangu?

Wewe wa ajabu kweli! Hii ndiyo mara yangu ya kwanza kufanya bet ya aina hii, halafu wewe unasema umeshazowea? Wewe vipi?!?
 
Natarajia tutapangiwa vs team ya Premier League, wakati wengine watapangiwa dhidi ya lower Leagues teams kama raundi iliyokwisha.

ngoja tuzubirie tuone itakuwaje mkuu mambo ni mida hiyo ya saa 4 usiku.
COYG.
 
Natarajia tutapangiwa vs team ya Premier League, wakati wengine watapangiwa dhidi ya lower Leagues teams kama raundi iliyokwisha.

ushaanza kujinyea....subiri chelsea/man utd/city wanakuja 4th round hio.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
ushaanza kujinyea....subiri chelsea/man utd/city wanakuja 4th round hio.

Nope.. Msimu uliopita baadhi ya timu tulizoziondoa miongoni mwao zilikuwa za Premier League Liverpool, Spurs na Hull City tukabeba Kombe. Msimu huu tumeanza na Hull City (Premier League) kwa mtiririko huu naweza kusema kuna uwezekano wa kukutana na timu nyingine ya premier League.
 
i hope u gonna play chelsea.
 
tutasonga raundi ijayo ila game za ugenini dhidi ya hizi timu za chini huwa ngumu wanakamia sana hawa undergrounds
 
Back
Top Bottom