Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Newcastle, Everton na Loser fools last season walikuwa wazuri kwa sababu hawakuwa kwenye Europa na CL mwaka huu imekula kwao walifikiri kucheza kwenye hizo mechi na PL ni cha ntonto .... ... .... imekula kwao.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
48 min Alexis yellow anazuia free kick ya haraka haraka .... ... . .
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Welbeck misses two glorious chances ... ... .... ...
Ox saved and Carzola saved by keeper
82 min 1 - 2

 
Afadhali,at the end points tatu muhimu tumebaki nazo sisi.
Pole Viol leo nimeshinda mimi kwa utabiri
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Didn't watch the game lakini 3 points is all that matters..COYG..taratibu tunapanda...!
 
Back
Top Bottom