Kama tukipita hapo (wa Arsenal) kwa Monaco, kisha kwa mshindi wa Porto na fc basil, hapo ndo shughuli inakuja maana itakuwa Madrid endapo watakuwa wamepita nao kwenda finali.
sipendi ubishi soma hilyo document alafu urejee hapa QUARTER FINALS draw ipo ikifika SEMI FINALS ndo moja kwa moja
View attachment 211281
Mzee wa ghahawa vipi umeshtushwa au ni furaha tu??
Tukishindwa kupita kwa Monaco inabidi Wenger,wachezaji,bodi na sisi mashabiki wote tupelekwe kisiwa chochote ambacho hakina wakaaji tukaanze maisha pekee yetu tujifunze kujitambua au kama vipi tukapumzishwe Quantanamo.
UEFA mafundi ila MUNGU fundi za ya wote maana hizi ni Neema eti.
COYG......!!!!!View attachment 211298
Prof akisubiri draw ya CL
Tutakwaana na moja kati ya hizi timu hapa chini
Atletico Madrid, Real Madrid, Monaco, Bayern Munich, Barcelona au Porto. Nimeambiwa Chelsick wamepangiwa kukwaana na PSG tayari, wamepata mteremko.
ulitaka Chelsea wapangwe na timu gani?, simple. logic, washindi wa kwanza kwenye groups wanacheza dhidi ya washindi wa pili,
nina wasi wasi kama huwa unatumia akili angalau kidogo kabla hujapost ujinga wako..
Champions League trophy la Arsenal ndo hilo FA Cup sababu You will never win the Real Champions League trophy ,kule EPL mkimaliza number 4 mnashangilia kuliko aliyeshinda Kombe,
100 + millions spending for the last 3 years Still aiming fourth EPL position,Babu Wenger kawaroga si bure
Mind The Gap.(13 points for your case)
Wakuu jambo moja la msingi ni kwamba Arsenal inacheza na Liverpool jumapili ni mechi muhimu kabisa.
Tatizo ni kuongezeka kwa idadi ya majeruhi na wa hivi sasa ni Oxlade Chamberlain ambae ameumia msuli.
Chamberlain alisaidia sana timu yetu kwenye mechi na Newcastle kwa mbio na msukumo mzima wa mashambulizi.
Lakini kuna kila dalili nzuri kwamba Oxlade atacheza jumapili ukizingatia Aaron Ramsey, Mikael Arteta na Jack Wilshere wote ni majeruhi.
Meneja Arsene Wenger ametoa siku tatu za mapumziko kabla ya kukutana tena Ijumaa kujiandaa na safari ya Anfield.
Mkuu Richard ulipotea aisee, good to see you. Mechi ya Jumapili si mechi rahisi hasa ukitilia maanani matokeo ya hivi karibuni ya L'pool hivyo watajitahidi sana ili wapate ushindi. Hivyo inabidi tucheze kwa ari kubwa kama tulivyocheza na New Castle ili kuhakikisha points gap iliyopo kati yetu na timu za juu haiongezeki. Magoli ya haraka haraka yatakuwa poa katika kuwanyamazisha wapenzi na mashabiki wa L'pool nyumbani kwao.
Kumbe kuna members wajanja zaidi, lakini ujanja wao unaishia kwenye Cowshed ..... ..... khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wacha kelele wewe mwaka huu tunatetea FA cup na ngao tunayo. nyinyi mna nini zaidi ya kuwa na divers uwanjani Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Okey, siwezi thibitisha, sikumbuki vizuri ila nina UHAKIKA nusu fainali hamna draw kama ulivyosema wewe, kama kuna draw nyingine basi ni round inayofuata, robo finali. Ila kwa kumbukumbu zangu, nafikiri kuanzia hapa unawaona maadui zako walioko barabarani wote!
Babu Wenger hatawahi kuja kushinda hili kombe, Professional Loser
Babu Wenger hatakuja kushinda Champions League ,Professional Loser