Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Comrade Wacha...

Tukubali tukatae..Ukweli ni kwamba timu yetu sasa hivi ni ya hovyo kabisa...Wenger hana mbinu za ushindi tena....Siku hizi hata ushindi tunaouoata ni wa kubahatisha..Arsenal ya sasa hv sio Arsenal yetu ile ambayo mtu akiiona inacheza uwanjani anatarajia inacheza soka murua...

Arsenal kufungwa 3-0 na Stoke ndani ya dk 45 ni fedheha comrade...Ifike kipindi tukubali kwamba zama za Wenger zimeisha...Ningekuwa na uwezo ningemuondoa..Lakini kwa Arsenal yetu hii kumlalamikia Wenger ni sawa na hadithi ya Kilio cha samaki...

Inauma sana ingawa hakuna jinsi. ..

Together We stand. .

Mkuu ndio reality ya michezo unaposhindana ni lazima timu moja ishindi. Unaweza kuangalia magoli kama kipimo lakini wachezaji wengi hawako katika kiwango kinachotakiwa angalia nyuma tangu Debuchy aumie na Kos hakuna wachezaji wa kuchukua hizo nafasi then wamekuwa wakicheza kila baada ya 3 days at most kwa wiki zilizopita its taking its toll. wenger bado ni good manager, timu nyingi wangependa wawe hapa tulipo, hii media ya UK machinery ambayo imejaa fitna na wivu haiwezi kumwondoa Wenger. Hebu nambie manager gani anafaa kuchukua nafasi ya Wenger. Then nipe wasifu wake. Last week Prof alitoa challenge kwa wanaomponda wafanye naye kazi kwa wiki moja hakuna aliyejitokeza.

Wachezaji pia wapo wengi ambao hawajitumi kama Alexis na Ox, usiwe na wasi wasi na timu tutafika tu.
 
10847829_1002285103129238_7140193453947184293_n.jpg
 
Polen sana wakuu mmejitahidi kupigana lakini ndo vile wakati ukuta, S.C hongereni sana.
 
Back
Top Bottom