Song tayari ana yellow na kwa style yake ya uchezaji,naona yuko somewhat "limited" Wenger alitupie hilo macho wakati wa half time,ila cjui atamreplace na mchezaji gani.
Baby wala usijali hawa leo mnafunga mengi! Clinchy kule ni uchochoro! Leo niko na wewe nakusaidia kushangilia. Lini waja Zenj? I am so happy na haya matokeo jukwaa lina kelele sana hili
mkuu kosa tutakalolifanya hapa ni tutakuwa tunakamatwa kwenye counter attack tu sasa hivi kwa vile tutakuwa tunaenda kulazimisha magoli.arshavin nafasi kibao za kuwaekea wenzake wa press kataka kufunga mwenyewe.
I beg to differ,Arsenal wanaweka mpira chini shida ni umaliziaji,sasa ebu tueleze whats more ndugu mkufunzi,maana umesahahu we're just talking in general.