Manure bana yaani wao mpira wa kubahatisha wiki nzima watasimulia aibu! Wenzenu chacha tupo kwenye mambo ya CL nyinyi bado mnafikiri matokeo ya EPL baada ya kupata zawadi kutoka kwa kuwadi wenu wa brown envelopes ... ... ... ..get life!
Weweeeee mpira sio mchezo wa kubahatisha kheeeeeeeeeeeeeeeeeee. Haiwezekani mchezo uchezwe dakika 45 watu wapumzike warudi tena dakika 45 ufungwe alafu useme wamebahatisha. Ingekuwa timu ikifungwa tu mpira unaisha hapohapo sawa
Hatuangalii kuendelea au kutokuendelea, uhakika sisi tunasonga mbele, kwasasa macho yetu ni kumaliza hatua hii tukishika nafasi ya kwanza kwenye kundi letu....
pacha una moyo kama king martin luther
Pacha kama kuna wachezaji wa man u hapo wambie waende kusaidia dortmund, yaani kama tunafanya mazoezi tu...
Sare ndo ushindi wa Arsenal leo. Timu iko hoi
Pacha tuache ushabiki ila hawa jamaa wa arsenal wako vizuri sana aisee...