Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tupo sana tu tena kwa idadi kubwa, Best hushangilii timu kila inaposhinda tu na pale inapofungwa basi uanze kuangalia ustaarabu wa kuhamia timu nyingine. Mtu wa hivyo hakuwa na mapenzi ya kweli na timu ni mnafiki tu bendera hufuata upepo.

Haaaa Kama nakuona unavyonielezea.... mara nyingi huwa wanafungwa.
 
Reactions: BAK

Imeniuma sana kwakweli BAK basi tu.....
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Hongera kwa Man United woooooooote.....

Hands down, huyu mzee wetu kiukweli mbinu zimemuishia.

Hata Peugeot 403 enzi zake ilishiriki
east african safari rally,.....

:coffee:
 
Hamna jipya. Tulijipa moyo lakini ukweli unabaki, timu kubwa Arsenal ya Wenger haitazifunga. Hongereni Manu.
 
Wale wote walionisoma post No 38144 kwenye uzi huu na unakubaliana na kitu ambacho nilikisema nakuomba au nawaombeni munigongee like kama ishara ya kukubali kitu ambacho nilikitabiri.

Kwa ufupi nilisema hivi...mimi ni mshabiki na mpenzi mkubwa sana wa Arsenal ila leo ni lazima Man U watatufunga tena kwani Arsenal kwa Man U ni kama mbwa kamuona chatu. Imeniuma sana...lakini nilichotabiri ndicho kilichotokea.

Kama ulinisoma kwenye post hiyo No38144 naomba unigongee like kama ishara ya kukubali kile nilichosema.

Cc BAK
 
Last edited by a moderator:
Jamani Arsenal ni juju au tumeshindwa kupata point kutoka kwa united! Dortmund watatumaliza. I always support Wenger but this has got to stop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…