Ni kweli Mkuu tunacheza vizuri, unapofungwa katika mechi ambayo ulistahili kushinda inauma sana Mkuu. Bora kusema tulizidiwa, lakini kucheza vizuri kiasi hiki halafu kupoteza 3 points noma sana Mkuu. 8 minutes to go and probably 7 additional minutes. Hata draw itakuwa ahueni Mkuu.
Tupo sana tu tena kwa idadi kubwa, Best hushangilii timu kila inaposhinda tu na pale inapofungwa basi uanze kuangalia ustaarabu wa kuhamia timu nyingine. Mtu wa hivyo hakuwa na mapenzi ya kweli na timu ni mnafiki tu bendera hufuata upepo.