Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tumeshapata nafasi mbili nzuri sana ambazo zote zingestahili kuwa magoli.
 
BAK hawa majamaa ni wenu kabisa kazi kwenu
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Pamoja na Beki yetu ya kati kuwa tepe, bado kushindwa kuwapiga hawa Man Utd na Squad yao ni Sign kuwa AW hana jipya tena!!!!
 
Reactions: BAK

Loh!! Niache kidogo tutaongea baada ya dk 90.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Daah! Hii timu yetu sijui ina laana!!?...yani nafasi zote hizi tulizozipata kipindi cha kwanza tumeshindwa kuwafunga hawa watu?
 
Reactions: BAK
Tulistahili kuwa mbele at least kwa goli 2-0, halafu mie mwenzenu huyu Willshere hmmmmm!
 
Nipo Mkuu mpira tucheze sie kufungwa tufungwe sie! Dah!!! Inauma sana Mkuu goli la kujifunga kwa uzembe.

Mkuu hapa ndio hii timu inanizidishia presha....
Tangu dakika ya kwanza tunacheza vizuuuuri.....
 
Reactions: BAK

Umeona uzembe wenu?
 
Pamoja na Beki yetu ya kati kuwa tepe, bado kushindwa kuwapiga hawa Man Utd na Squad yao ni Sign kuwa AW hana jipya tena!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…