Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Khe Khe Khe Khe Khe let's wait and see ila usininunie tu, maana kwa kununa tu baada ya MANU kufungwa hujambo lol!!! 🙂🙂

Hahaha!!! Hanuni ntu hapa leo nakuona hata kutoa utabiri umeshindwa,usinikimbie tu maana ntakufata hadi huko uliko....
 
Reactions: BAK
LoL!!! Hahahahaha 2-1 Gunners, and what is your prediction? Itakuwa raha sana leo Wellbeck akawasulubu japo kamoja 🙂🙂

Hahaha!!! Hanuni ntu hapa leo nakuona hata kutoa utabiri umeshindwa,usinikimbie tu maana ntakufata hadi huko uliko....
 
Haya tusubiri tuone kicheko kitaenda mtaa upi na mnuno lol!!! hahahahahaha utaenda mtaa upi. Natanguliza pole zangu za dhati.

Hahahaha!!! Hatupotezi kitu hapa, lakini wewe si mupenzi basi nikishinda mimi sawa eh..

!! Ila wewe si sawa,lol
 
Reactions: BAK
MillionHairs, ulichosema kwenye post yako # 38144 ni kweli kabisa. Kwa maoni yangu tatizo letu kubwa ni kutojiamini kwamba tunapocheza na MANU basi ni lazima tufungwe na wao wanapocheza na sisi wanajiamini kwamba lazima washinde. Tukiweza kubadili hii mentality ya wachezaji kwamba tunapocheza na MANU ni lazima tufungwe na ushindi wetu ni kutoa sare basi leo tunaweza kufanya kweli, na Wellbeck kwa usongo aliokuwa nao anaweza sana kubadili mentality ya wacheza wenzie na hivyo kuingia uwanjani wakiwa na determination ya kuondoka na 3 points.

Hapana bhanaaa kama kuna mechi ambazo sipendi tupoteze ni hii ya leo, huwa mara nyingi tunacheza vizuri lakini makosa madogo madogo ya hapa na pale na umaliziaji mbaya/hafifu huwa ni vikwazo vya kushinda katika mechi zetu na MANU. Hivyo leo mie nataka ushindi tu ili weekend yangu iendelee kuwa bomba kama ilivyoanza.

Hahahaha!!! Hatupotezi kitu hapa, lakini wewe si mupenzi basi nikishinda mimi sawa eh..

!! Ila wewe si sawa,lol
 
Mhh!! Hapana kwa kweli yani sijawahi kubet hata siku moja leo nimebet....ushindi lazima kwetu mkijitahidi ni droo.
 
Reactions: BAK
Umebet ngapi? naona bulungutu lako hiloooooo linaondoka lol!!! Unazo nyingi lakini hivyo wala hutastuka.

Mhh!! Hapana kwa kweli yani sijawahi kubet hata siku moja leo nimebet....ushindi lazima kwetu mkijitahidi ni droo.
 
Haya haya tena leo ni leo asiye na "ntoto" abebe mbuzi mgongoni, shughuli inakaribia kuanza rasmi. Best wangu everlenk alionekana moyo ukienda mbio kupita kiasi angalia usizimie tu best, ukiona hali mbaya cheza mbali na TV au izime kabisa hahahahahah lol!!! Enjoy the game.
 
Last edited by a moderator:
viwete wameokotana leo, ngoja waumizane huku sisi tukiendelea kuning'inia kileleni mpaka mei tukabidhiwe kikombe chetu bila shuruti.
 
Hongereni ila mjue lazima gap hiyo ipunguzwe, na hapo ndio itakuwa patashika nguo kuchanika.

viwete wameokotana leo, ngoja waumizane huku sisi tukiendelea kuning'inia kileleni mpaka mei tukabidhiwe kikombe chetu bila shuruti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…