Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
Sanchez ndiye pekee nayemuona akihangaika huku na huko, kiukweli, Arsenal hii ya Wenger ina safari ndefu sana kushinda vikombe. Yaani mechi kama 10 tulizocheza tunaonekana kama timu ya kawaida kabisa. Kwangu mimi tatizo la Arsenal kubwa kwa sasa ni Wenger. Mabadiliko yanatakiwa. Kwa mpira tunaocheza, hata akichukua Kocha mwingine mabadiliko yatakuwa madogo sana, hakuna tofauti. Majeruhi isiwe kisingizio hata kidogo, kila timu ina wachezaji wanaocheza na dhidi ya timu zingine. Pia, Arsenal tunatakiwa tukubali mabadiliko, Arsenal bila Wenger bado itakuwapo. COYG!
.....?! dahh, sijakuelewa mshika bunduki mwenzangu. :coffee: