Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,912
- 10,262
Kocha wao kachukizwa na matokeo; wenyewe (mashabiki #WakaangaSumu ) wanachekelea droo!!
Haya matokeo wameshazoea
Kocha wao kachukizwa na matokeo; wenyewe (mashabiki #WakaangaSumu ) wanachekelea droo!!
naona unaenda kama Mlevi hatua 2 mbele 10 nyuma.
Wemepata Ka ushindi leo bhasi wamefufuka kweli, Nadhan bado hawajajua kuwa timu yao ni kama mlevi anayepiga hatua 2 mbele, 10 nyuma na bado wanajipongeza.
Still unbeaten....
Nawashangaa nami hawa, tumecheza na mpinzani wetu wa jadi ambaye hakuja kucheza mpira bali kusubiri makosa ya watu binafsi na counter attacks. Hawakuja kushinda bali kutafuta kutofungwa. Arsenal bado unbeaten.
.......not only that, kutuongezea idadi ya majeruhi pia.
#Wilshere Out,
#Ramsey Out,
#Arteta Out,.......we are a bit short ahead of Galatasaraay and Chelsea games aisee....
Wakati huo huo, #Rooney kwa kujua kijacho ni Everton na Chelsea, kajionea isiwe taabu, kaitafuta Red Card ya makusudi asijelaumiwa kwa aibu za game hizo.
.......not only that, kutuongezea idadi ya majeruhi pia.
#Wilshere Out,
#Ramsey Out,
#Arteta Out,.......we are a bit short ahead of Galatasaraay and Chelsea games aisee....
Wakati huo huo, #Rooney kwa kujua kijacho ni Everton na Chelsea, kajionea isiwe taabu, kaitafuta Red Card ya makusudi asijelaumiwa kwa aibu za game hizo.
Soon Diaby na AOX nao watajiunga kliniki
huyu mr.bean kuna siku atafia uwanjani ...........
Grand PA
Hii droo amepaniki hivyo wakianzishiwa vile vipigo vye mbwa mwizi tutasikia habari mbaya kwa huyu m'babu
hahahaha ............. halafu huyu mzee ana asili ya ubonge lakini timu ndio inamuangusha anakonda kila kukicha. nahis anatembeaga na mawe mfukoni.
Grand PA
Hahahaaa..!! Umenikumbusha mbali sana Grand PA ..
View attachment 189345
Arsenane walishindwa kumpa raha kama hizi akaamua kujipa mwenyewe azisahau shida
View attachment 189347
Hiyo siyo kliniki ya kawaida; ni ya rufaa! Yaani ni kama Muhimbili ya majeruhi wa soka!
Kuna jamaa (sijui pierre fm) ameniambia akina Jones, Smalling na Evans waende wakatibiwe hapo, nafikiri ni ushauri wa busara sana huo.
Doh! Niliwasahau hawa! Kweli watafaa sana kuja hapo kwenye Muhimbili ya majeruhi wa soka.
The Arsenal manager celebrates his 18th year in charge at Arsenal on Wednesday. Here are some of his key numbers:
1,021 Games in charge at Arsenal.
He has won 590, drawn 230 and lost 201.
13 Trophies won by Wenger at Arsenal:
Three League titles, five FA Cups and five Community Shields.
1,880 Arsenal goals under Wenger - an average of 1.84 per game.
1,353 Premier League points won. Only Sir Alex Ferguson (1,752) has more.
1st In 1998, Wenger became the first foreign manager to win the English league title.
57.8 Overall Arsenal win percentage.