truegooner
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 779
- 339
Hili kombe kwetu sisi utusaidia kukuza na kuibua vipaji vya madogo, bahati mbaya tumetoka mapema. Ila mimi binafsi wala hainiumi hata kidogo, nawaonea tu huruma madogo hawatapata namba first eleven.