...Za #Wasagasumu na #Mburukenge
Hamna lolote mmechoka tu
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeeeeee mmefufuka leo hata kupata nguvu ya kuongea lol!!!!
Pole bwana ndo imekua hivyo
Wazee wa mtaa wa saba wanachongaa.....
Wemepata Ka ushindi leo bhasi wamefufuka kweli, Nadhan bado hawajajua kuwa timu yao ni kama mlevi anayepiga hatua 2 mbele, 10 nyuma na bado wanajipongeza.