Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tots wametundika ukuta wa maana.

Ushabiki pembeni, huyu kocha wao toka Saints, ameifanya Spurs iwe inafanya pressing za kufa mtu. Sasa Spurs hawakupi sana nafasi ya kupumua.

Nawagwaya kukutana nao na beki yetu ya boys..
 
Kuna umuhmu wa Arsenal kuzingatia counter attacks kwa umakini ukizingatia na Kiberenge ndio kinaingia.
 
Ndo nini kujitekenya kisha kucheka mwenyewe? Umehehuka? Our fighting spirit will see us through with 3 points in the bag.


He is being a chicken..shittin on his pants because of Lennon!
 
Na kinyesi na Nzi damu damu....Mdudu mchafu weye! Dah!!!! Itakuwa shida leo hapa jukwaani.

He is being a chicken..shittin on his pants because of Lennon!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom