Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Fat Arse wazembe mechi ilikuwa washinde ......hamtoki na Man utd!
 
Fat Arse wazembe mechi ilikuwa washinde ......hamtoki na Man utd!

Kweli kabisa home b...Jamaa ni wazembe kimbwa kuanzia kocha mpaka wachezaji we fikiria Wenger anamtoa Rosicky ambaye angalau alikuwa anajaribu kufunga kila wakati na kumuacha dogo Ramsey anakimbiakimbia tu uwanjani...Inakera sana aisee
 
Hongereni sana Fat Arse, mmejitahidi kupata pointi moja.
 
...hakuna cha afadhali wala nini, wenzetu wanazikusanya pointi tatu tatu sisi tunasherehekea pointi moja?

...na huyu Arsene Wenger anajifanya hii timu kama yake na mkewe eeh? anachezea 'roho' zetu eeh? Mw'Mungu amrehemu Suleiman Omondi!

...kesho utamuona AW kwenye press eti ooh, 'we did very well compared to what people thought of us...!' ...very well my ~$%#&*!...
WTF playing for the 4th spot mwaka wa tano huu sijui wa sita?
 
Hongereni sana...Ila mhhhh ratiba yetu ilivyokaa mpaka inasikitisha

Jumapili 31/01 Man Utd
Kisha 07/02 yafuata Chelsea
Halafu 10/02 wanafuata Liverpool

Sema iko pouwa tu maana tunamalizana na hawa wakulu mapemaaa kupunguza presha
 
...halafu Vermaelen naye nje mpaka mwisho wa msimu. Kesho watathibitisha 🙁
 
...halafu Vermaelen naye nje mpaka mwisho wa msimu. Kesho watathibitisha 🙁

Bwana wee,yaani inasikitisha kweli,leo wamerudi Bendtner na Nasri na nafasi zao kwenye majeruhi zimechukuliwa na Vermaelen na Eduardo...Inasikitisha sana..Hata hivyo tunashinda Jumapili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…