privacy
JF-Expert Member
- Apr 20, 2014
- 1,446
- 1,282
Usiku mwema wakuu....leo tumefungwa
Yani bora yenu kufungwa mmeshazoea
Usiku mwema wakuu....leo tumefungwa
Yani bora yenu kufungwa mmeshazoea
......huyu Mentor nuksi kweli!
Huyu man u au??
Wish I could like my own comment ...poleni sana washika manati wa London
hii timu itatuua kwa shinikizo................
hii timu itatuua kwa shinikizo................
hii timu itatuua kwa shinikizo................
Namuonea huruma Arsenal
Vimburukenge haviishi maneno. Capital One cup kwa Gunners miaka yote ni kwa wachezaji wanaoibuka na kuwapa uchezaji wachezaji ambao hawapati mechi kwenye kikosi cha kwanza. Ni bahati mbaya hawaku-perform ili waendelee kujiimarisha kwenye next cup tie. Huwezi kupanga kikosi kile kile kila mechi ni lazima kuwapa uzoefu wachezaji wanaojitokeza. SA ni timu nzuri sana na wachezaji wenye vipaji wanaoibuka wanakwenda kujinoa pale.
Wameuza wachezaji talents kwa more than £90million na bado wapo vizuri kabisa 2nd in the EPL at the moment bila kusahau Chambers ambaye tumemnyakua kutoka kwao, achilia mbali Ox na Theo.
Diaby anakuja kwenye match fitness ingawa bado hana stamina. Podi was a disappointment, Ospina need to be more careful, EPL sio lelemama, Rosicky muda wake unayoyoma. This is how Prof measure our team where we are. Wasiopenda wakajinyonge.
poleni kwa kipigo hivi mara ya mwisho Arsenal kubeba ndoo ya EPL ilikuwa mwaka gani?
mashabiki wa arsenal wanasifa ya kutokuwa na mashinikizo.lasivyo wangekufa wengi sana