Wenger: Hata mkimsemea vibaya Ozil ila bado naweza mnunua tena kwa zaidi ya paund 42million kwani bado
anathamani hiyo, na kwanini timu ikicheza vibaya mnamuangalia mchezaji mmoja???
LoL! Mkuu MEANDU waangalie kwenye EPL Table wanacheza kwenye namba ipi. Pamoja na kuwa ndio wiki ya nne tu tangu ligi ianze, lakini wasingekuwa hapo walipo kama timu yao ingekuwa ni mdebwedo.
Kwi kwi kwi kwi lol!!! Usisahau mpira siku zote ni dakika 90 na kwenye hizi dakika 90 lolote lile linaweza kutokea na kuwashangaza wapenzi na washabiki wa mpira Ulimwenguni. Enjoy the 2nd half.