Wakuu mbona mna wasi wasi, kuna siku mpira unagoma ni one of those days we had been in a run of 15 matches bila kupoteza game, take it in your chins na tuwasubiri Emirates kama tutapoteza hii mechi.
Mkuu Welbeck hahitaji muda, alikuwa hachezi kwenye ligi ya nje yupo EPL muda wote, wachezaji wanaopewa muda ni wale waliokuwa wanacheza ligi tofauti. He should refrain from media hype na kujiona bora (leo kakosa two clear chances) kwenye EPL na Manc alikosa sitter ... .... .. angalia Alexis muda gani amekuwa kwenye EPL?