Kweli mkuu 2-2 dk ya 87 now
duuh dadadeki ni dakika ya ngapi sasa mkuu.
Pamoja sana mkuu inaonekana nimekosa kweli uhondo wa mtanange huu.
wakuu Gunner hii ni habari ya kweli maana najua huyu 7up(Manure) hana jema mkuu Nyaluhusu87 hebu tuhakikishie.
bado Ozil! Wenger sijui anampendea nini?
Tulia dawa iiingie wewe, ni chungu lakini Dawa
Inaelekea unaombea gem iishe hapo. Tw tw tw tw tw tw twTulia unyolewe,we are still the best cause walianza wao kufunga,ila hawa wetu
Inaelekea unaombea gem iishe hapo. Tw tw tw tw tw tw tw
Kwani Arsenal akili zeo si zinafananatuJamenijameni, huyu naye katoka wapi?! Nemo ni goons' record breaker katika transfer fees!! Sasa unataka apigwe benchi na kocha aliyevunja benki kwa ajili yake?!? Wenga si ataonekana kichaa!!!
.......heshima na adabu, who's next?
Dortmund.
Haya, kesho macho na maskio kwa wazee wa 7Up!.
Arsenal, together we stand.
Hongereni kwa droo...