Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pride of London? more like chavs of London, Aheri nisapoti timu yangu ya mitaani Brentford fc kuliko hawa chavs wa Fulham road.
Well, Blues are way better than those Arse scum from Holloway.
 

Hawa mediocre unaowaongea ndio wanaongoza kwa kufunga mabao mengi kwenye ligi kwahio I don't understand your logic, System ya Arsenal ni kucheza kitimu (teamwork) na sio kutegemea Individuals kama akina Chelsea,Man utd na Liverpool. a la Drogba, Ronaldo and Torres, mara nyingi Wenger anamsajili mchezaji kwa kutegemea kama atafiti kwenye system na sio kununua ready-made players ndio ukaona mchezaji atakuwa anashaini Arsenal lakini anakuwa m-bovu akiondoka eg. Reyes, Flamini na Hleb.
Bendtner kumbuka ndio kwanza ana miaka 22 na ni full Danish International.Kama sio majeruhi mapema basi wazi angeshaini sana msimu huu
 
mkuu campbell mechi zake ndio kama hizo na ni sub kama injury itatokea kati ya varmelen au gallas acha ulevi mkuu usijifanye kama hujui kwanini wenger kamchukua.

nadhani hawa wachezaji wazee wanaajiriwa kwa ajili ya kusaidia vijana kujipanga kuliko kupata first team appearances

Ni bahati mbaya Sol ameanza na mechi ngumu kwake... sidhani kama atakuwa na mechi nyingi, labda kusaidia vijana kwenye mazoezi
 
Come on Stoke, It ain't over til the fat Arse sings.
Mkuu inaonekana Stoke wamekufurahisha sana? AW alishasema FA sio priority na kwa kweli haya makombe mbuzi yanaongezea ugumu wa fixture tu. Na tusubiri May mkuu lakini nakuambia you will be in for a good shock!! Coming May Fat Arse will be on top of premier league.🙂😀
 
Hahahaha, ok chief. Tutakumbushana hizi sentensi itakapofika May.
 
Leo wamesusa mkuu lakini nitawatundikia hata kama hawataki!!!!


Ahsante sana, mkuu pamoja na Masanilo kwa kutundika picha....maana yule mtundikaji maarufu amezira, au nae kaloweshwa kama Campbell hivyo amechoka!
 
Ahsante sana, mkuu pamoja na Masanilo kwa kutundika picha....maana yule mtundikaji maarufu amezira, au nae kaloweshwa kama Campbell hivyo amechoka!

Wamecheza na watoto...matokeo...wamepakwa kinyesi!!
 
Siwezi acha kulewa mazee matokeo kama haya

Arsenal 3 Stoke 1

Leta round ya Serengeti lager hapa tufurahie ushindi Mkuu! Tamu ya Ushindi si unaijua?
si nilikwambia juzi utulie kwani furaha kwenye michezo leo kwako kesho kwa mwenzio? lol sasa leo furaha hiko kwako mkuu enjoy it.
 
Kumbe vidonge ambavyo huwa nawapa vinafanya kazi. Hawa akina peasant, masanilo aka Kikojozi, na taliban supporter hawajawa Invisible nitawaongezea dozi. Nilikuwa naangalia vipimo tu kuweza kufahamu ni kiasi gani kitakuwa muafaka.
 

Hata mimi binafsi baada ya kutolewa Liva na Man U nilidhani ataona ongezeko la kuchukua hiki kikombe. Hebu msikie hapa, eti anadai ana injury 10. Sasa sijui anadhani timu nyingine zinanunua wachezaji for fun??

I did not have much choice," he said. "We have 10 injuries and I cannot always play with the same 11
 
Trophy-less season kama kawaida yetu the gunnerzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!

Yeah, FA Cup was their only chance, sasa sijui kama kibabu Wenga anakaaga chini na kufanya analysis, maana kila siku anafanya makosa yaleyale.
 

Soccernet


Hiki kibabu Silvestre kilisababisha penalty dakika za majeruhi first half, ila refa akamezea kuikoa Arsenal. Na huyu Fabianski sijui Wenger anaona nini kwake, lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…