Alikuwa ni Cerci yule..nadhan anakaribia kwenda ATLETICO MADRID, sijui kama deal yake imekamilika..
Me sidhan kama ni halali pia kwa some of Arsenal fans kumlaumu Wenger kuhusu Falcao, kumlipa mtu mwenye miaka 29 mshahara wa 350k per week lazima uwe umechanganyikiwa kidogo na ukichukulia ni just a LOAN deal..
But Wellbeck ni kama Sanogo tu, Wenger kama alikuwa anataka cheap options REMY angefit sana pale Arsenal..
Ila mchezaji akiwa mkopo na club yake mama si huwa inashea kumlipa kiasi fulabi? Au!
Mbu nimekukubali kwa hili tehtehteh ila je Welbeck angebaki Man U ungeiweka hii stats? Nafikiria ulitoka Jasho kuitafuta. Kwahiyo Welbeck alikuwa mkali United au walikuwa hawajui kumtumia tufafanulie kidogo manake dk chache nyuma zinaonyesha haukumtaka Huyo Striker!.View attachment 182183.....Stats haziongopi!
Man Utd atakuwa wakimlipa Falcao paundi milioni 6 kwa mwaka mzima yaani huo ndio mshahara wake atakapokuwa Man Utd.
Ila wakitaka kumsajili moja kwa moja basihio milioni 6 itaondolewa na Man Utd watawalipa Monaco milioni 50.
ooooh! Okei. Kwa hiyo upande wa mshahara Monaco hawahusiki. Si ndio? Dah!
Sasa kama klabu inagenerate pesa unataka itumike kufanyia nini? Endeleeni kusajili like of Sanogo,Wellbeck.Mlitupa RVP kwa £ 24m nasi tumewapa Shabaranks kwa £ 16m
£ 350,000 per Week FALCAO.
£ 300,000 per Week Rooney
£ 250,000 per Week Di Maria
£ 220,000 per Week, Van Persie.....
#7UpWamechanganyikiwa!......
Ooooppsss, wamesajili golikipa wa Sampdoria! .....still loading! :nerd::nerd::nerd:
£6+£18 mil
Imagine wakiikosa Top4...
Welbeck atatusaidia wadau kwani namkumbuka alivyokua sunderland na Gyan alikua sharp sana..kampita mbali sana sanogoal..
Alafu kibaya zaidi, Manu hamna eti sijui LVG apewe time, watu wanataka matokeo fasta. Yaani sasa hivi hiyo pressure ndo balaa. LVG atakonda, Wakifungwa au kudroo hapatatosha.
tatizo kubwa la Man Utd ni midfield na defense..
Striking force yao itakuwa kali sana, lakin with Fletcher au Carrick as their holding mid, yatakuwa ni yale yale tu, kutwanga maji kwenye KINU..
Afu LVG itabid ajue 3-5-2 ni ngumu sana kufanikiwa katika league ya UK..
Baada ya game yao dhidi ya QPR pale OT, wataenda kwa wale watoto waliowakazia jana, asa kwa mfumo wake wa 3-5-2, itakuwa ni aibu nyingine!!!